Wednesday, June 3, 2015

TUTOKE MANISPAA YA SONGEA NA TUTEMBELEE JIJI LA ROCK CITY (MWANZA)

Leo nimeona tutembelee jiji la Rock City Mwanza....inawezekana baadhi ya nyumba babu yangu marehemu alijenga maa alikuwa akiishi hapa na alikuwa muhunzi/mjengaji mzuri sana......Kapulya

3 comments:

ray njau said...

Haya ndiyo maendeleo yetu.

Anonymous said...

Mie nilisoma hapo Rock City nilipokua mdogo. Asante sana da Yasinta!By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Ray! Ni maendeleo haswaaa!

Kaka Salumu!Naona nimekukumbusha mengi!