Wednesday, July 22, 2015

KANGA NA MISENO /MAANDISHI YAKE.....

Hivi kweli MAPENZI ni pesa? Mmmmhhh ningeomba tujadili pamoja hapa inawezekana mimi nimeelewa vibaya....Kapulya wenu:-)

5 comments:

ray njau said...

Hapo ni Kiswahili kwa Waswahili na ujumbe umefika.

Nicky Mwangoka said...

Japo wanasema mapenzi bila pesa hayaendi lakini hatupaswi kutanguliza pesa maana zikiisha na mapenzi yameisha. Ni umakini,ukweli na upendo wa dhati tu katika suala zima la mapenzi

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Naamini kweli ujumbe umefika.
Kaka Nicky....ama kweli ulichokisema ni kweli kabisa. Ahsante.

Salehe Msanda said...

Habari!
Hii inanyesha tunatoka katika uhalisia wa kuumbwa kwetu na kugeuza suala la mapenzi kuwa
bidhaa. Mm ni hatari lakini salama

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salehe :-)