Monday, December 8, 2014

SOKO KUU LA SONGEA MJINI...NYUMBANI NI NYUMBANI!!

Si muda mrefu nitakuwa napata mahitaji katika soko hili:-) 

4 comments:

Mama Wane. said...

dada Yasinta unanitamanisha jamani.natamani niende nikashop na mie shimoni kariakoo.lakini waaapi. utuletee mbegu za majani ya maboga.

Yasinta Ngonyani said...

Mama Wane wala usikonde we nitumie anwani nikirudi tu nakutumia:-)

Mama Wane. said...

shukran ngugu yangu nitakutumia.nitafurahije?

Yasinta Ngonyani said...

Mama Wana ushatuma anwani??