Thursday, December 4, 2014

CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KWA WIKI HII :-PICHA YA WIKI!!

Nimeipenda sana hii picha  jinsi mazingira yalivyo na pia hawa wanyama TWIGA nikiwaangalia jinsi wanavyo temba mwana mwendo wa kulinga inapendeza sana. ...nami nasema KARIBU TANZANIA:-)

5 comments:

Ester Ulaya said...

Karibu Tanzania dada,,,,,Tanzania yetu ina vivutio vingi sanaa....hasa Wanyama kama Twiga

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin yaani hamuinazidi kuwa nyingi sana:-) ..ndiyo tuna haki ya kujivunia vivutio tulivyonavyo...

emu-three said...

Ya twiga mnyama mrafu mwenye madaha, yote hiyo ni hazina ya TANZANIA

NN Mhango said...

Wanapendeza ingawa watasafirishwa na magabacholi kwenda Qatar na hakuna atayefungwa. Ajabu hata usalama wa taifa hawataweza kuwaona wala kugundua.

Yasinta Ngonyani said...

emu- three ndugu yangu hakika kama ingewezekana huyu mnyama ningemfuga ndani ya nyumba jinsi nimpendavyo.

Kaka Mhango upo sahihi sana katika jambo hili ,,,,