Monday, December 1, 2014

JUMATATU HII TUIANZA NA PICHA HII....AMBAYO NI CHAGU LA MAISHA NA MAFANIKIO!!

NGOMA YA WAMASAI YA KITAMADUNI INAITWA ADUMU!

2 comments:

NN Mhango said...

Picha bomba kweli kweli. Ila hawa jamaa kuja mjini kumewafedhesha toka kuwa wafugaji wakubwa kuwa walinzi wa kubwa! Ni mawazo yangu tu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango inawezekana pia wasusi wazuri sana...