Friday, December 12, 2014

HII ITAKUWA PICHA YA WIKI...CHAKULA NIKIPENDACHO...KARIBUNI

Huu  utakuwa ugali wa ulezi au mtama...mlenda pia upo.

4 comments:

Ester Ulaya said...

mama weeee...kitu cha ugali wa ulezi..umenikumbusha kijijini dada

Yasinta Ngonyani said...

Ester! nimefurahi kama nimeweza kukukumbusha ya kijijini...

Mama Wane said...

mie sijawahi kula huo ugali.lakini nitajaribu maana unga wa ulezi ninao.ila nitaweka siagi mwenzangu japo kidogo.Ila hizo mboga nimezitamani yaani hapo mlo wa nguvu haswaaa.

Yasinta Ngonyani said...

Mama Wane, jaribu ndugu yangu ni mtamu sana usiweke siagi utaharibu