Thursday, December 25, 2014

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE SIKU HII YA KUZALIWA KWA MWOKOZI BWANA YESU KRISTO!!!


NOELI NJEMA KWA WOTE HIZI NI SALAMU KUTOKA RUVUMA/SONGEA/RUHUWIKO:-)

5 comments:

Anonymous said...

Nani nakutakia sikukuu njema .Pia samahani dada ruhuwiko hivi Hinta 200 ni sawa na shs ngapi za kitanzania?

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina:- Ahsante sana, ila sijui kama nimeelewa swali lako.

Anonymous said...

Asante dada naitwa Miriam nipo shinyanga Tanzania ni mpenzi wa blog yako ni kwamba nililetewa zawadikutoka finland na kwenye receipt niliona hinta 200 kama bei kwenye receipts nilitaka kujua thamani yake ni sawa na shs ngapi ya kitanzania?au na huko mnatumia dola?

Anonymous said...

Nimekumbuka mbali nilipokuwa binti Asante Dada Yasinta

Yasinta Ngonyani said...

Dada Miriam! samahani mimi siishi Finland na nachojua wanatumia EURO.Karibu tena hapa kibarazani na Ahsante kuipenda blog yetu.

Usiye na jina wa 10:34..Nafurahi kama umepata kumbukumbu ya ulipokuwa binti.