Tuesday, December 9, 2014

LEO WATANZANIA TUNASHEREHEKEA MIAKA 53 YA UHURU!!

AHSANTE MUNGU
BENDERA TAIFA LA TANZANIA

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.

5 comments:

emu-three said...

Tupo pamoja japokuwa wengine hawaelewi umuhimu wa uhuru, kuna mmoja alifikia kusema `aheri tungeendelea kutawaliwa' huyu ni mtu na ufahamu wake, hajui kuwa kutawaliwa ni utumwa, uhuru na utu wako unapotea..

Mbele said...

Nami hiyo jana nimeongelea kidogo hili suala la Uhuru wetu, kama unavyoweza kusoma hapa.

Yasinta Ngonyani said...

emu-three nimekupata-
Prof. Mbele nafurahi kukusoma.

Penina Simon said...

So good, it shows how realy u love ur country,
God be with you always

Yasinta Ngonyani said...

Dada P ..Ni kweli naipenda sana nchi yangu. Ubarikiwa pia.