Saturday, December 18, 2010

PICHA YA WIKI HII!!!

Hii picha imenikumbusha mbali sana . Je wewe msomaji/mtazamaji kuna kitu hapa kinakukumbusha ?JUMAMOSI NJEMA WANDUGU WOTE MNAPENDWA!!!

11 comments:

Simon Kitururu said...

Jumamosi Njema!


Ila picha ndogo sana hiyo ikuze kidogo angalau tuone HIPS basi MDADA!:-(

Born 2 Suffer said...

Haha ha haa Simon vipi hata wazee hao watakua na HIPS wameshapitwa na wakati, Ila mimi nimependa staili ya mguu huyo mzee alivyoweka wanakumbuka enzi za ujana.

John Mwaipopo said...

mzee ni mmoja tu hapo. ila kuna vitu vingi 'vya wiki' katika picha hii. vipi kuhusu staili ya matofali yalivyosimamishwa vertically kozi ya kwanza chini.

Simon Kitururu said...

Naona umeikuza sasa! Ila huyo babu aondoe basi mkono kwenye nyonyo basi!:-)

Anonymous said...

mimi nilikuwa naitaka hiyo nyundo kama mzee ataniuzia jumamosi njema

Mfundishi said...

Je tunaweza kusema wawili hao ni wapenzi?

Reggy's said...

Mafunzo kwangu yanategemea huyo mzee ni nani

Sembuli Mchawala said...

Inakukumbusha MD mitaa gani? Kwe ukalichicha?

emu-three said...

Huu ni utani wa babu na mjukuu wake, siunajua hiyo huku kwetu Africa. Lakini nimesikia kisa kimoja utani huu ulifanya babu akambaka mjukuu wake.

Matha Malima said...

haya ni mapozi ya zamani kama kuweka kishoka dole na shaili ya miguu kwa kujiandaa kwa kupiga pisha ukuwa mchafu kwa luga nyingine umebuka sana na vumbi asante

Penina Simon said...

Samahani nimejikuta nawaza vibaya,
Siku hizi wazee wameharibika kukaa hivyo na mjukuu wake unaweza mkuta inakuwa habari ingine
uaminifu sku hzi ni 0 kbs. Shetani yupo kzn 24hrs