Tuesday, December 20, 2022

UJUMBE WA JIONI YA LEO

Binadamu hataki kuwa alivyo. Isipokuwa anafikiri angekuwa binadamu wa aina gani! NAWATAKIENI JIONI YENYE AMANI NA FURAHA!

5 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Nakuelewa kapulya dada yangu.
Zikomo kwambiri

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango, nikutakie Kheri ya mwaka mpya! Zikomo kwambiri

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Shukrani. Japo, kwa kuchelewa. Nawe pia. Ngiyakubonga Sisi wami

Anonymous said...

Jamani kwa bwina?

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta habari za siku nyingi. Sisi huku tunalima summer tu na winter tunagandisha na kuendelea kuhomola. Tafadhali ondoa huo ujumbe juu wa utapeli na kutangaza upumbavu. Huyo aliyeweka ujumbe huo na kuficha ujumbe ni shetani binadamu anayetaka kuwaliza watu akidhani ni wapumbavu kama yeye. Tafadhali ondoa uchafu huu. Kwangu ukiwekwa nauporomosha siku hiyo hiyo maana kuna mipumbavu inayotaka kutumia blog za wenyewe kutanganza uchafu na utapeli wake. Ondoa tusitapike aghaaa aghaaa!