Tuesday, December 12, 2017

MKIONA KIMYA BASI JUENI NIMEKWENDA KULA LIKOLO LA NANYUNGU-:) NYUMBANI NI NYUMBANI


Napenda kuwatakieni wote afya njema kwa kipindi hiki kijacho cha NOELI. Binafsi nitakuwa katika mapumziko kula likolo la nanyungu. KARIBUNI SANA.
PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA NA KUSEMA. NI MIMI KAPULYA WENU.

2 comments:

NN Mhango said...

Nashukuru sana uliniaga. Pia kwa ukimya huu ni kwamba ulikuwa na safari njema na umeishapona jetlag ingawa toka Ulaya kwenda Afrika ni muda mfupi si sawa na kutoka huku Americas kwenda Afrika. Nichukue fursa hii kukutakia Noel na Mwaka mpya vyema huku nikukumbushia dagaa zangu. Najua, kwa sasa, umesishahau baridi na theruji ukiachia mbali frustrations za msimu.
Wasalimie wote ila usile sana likolo na nyungu, na linyungu ukavimbiwa bure.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka nashukuru kwa maombi yako. ..tulisafiri salama na kufika salama....na sasa tunajiandaa kurudi kwenye baridi...:-(