Wednesday, December 6, 2017

JE? WEWE UNAPENDA MATUNDA GANI? MIMI NAPENDA MACHENZA NA MAPAPAI

Kwanza MACHENZA Haya ni mepesi kumenya,hayana ukakasi wala uchungu kwa kifupi ni matamu. 
Pili ni mapapai haya ni matamu sana pia ni safi sana kulainishia nyama kama vile nyama ya ngòmbe utapenda nakuambia....

2 comments:

emuthree said...

apple(tofaa) papai, mananasi...mmh, kwa ujumla mimi napenda matunda mengi, tatizo hapa Dar, kitu kama Tufaa ni aghali sana..hata papai...afadhali ya machungwa,...ila Dar, msimu wote ni matunda, wanalima mikoani wanaleta hapa..

NN Mhango said...

Please ondoa hayo mapapai usiue watu bure. Huku tunayapata toka Mexico lakini mabichi na si matamu kama ya nyumbani. Natamani picha hii ingefyatuka na kuwa kweli lau nifaidi.