tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post731103954286878586..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: MKIONA KIMYA BASI JUENI NIMEKWENDA KULA LIKOLO LA NANYUNGU-:) NYUMBANI NI NYUMBANIYasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-19428304710722530792017-12-30T13:47:06.107+01:002017-12-30T13:47:06.107+01:00Kaka nashukuru kwa maombi yako. ..tulisafiri sala...Kaka nashukuru kwa maombi yako. ..tulisafiri salama na kufika salama....na sasa tunajiandaa kurudi kwenye baridi...:-(Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-71251413711195954812017-12-17T03:49:11.143+01:002017-12-17T03:49:11.143+01:00Nashukuru sana uliniaga. Pia kwa ukimya huu ni kwa...Nashukuru sana uliniaga. Pia kwa ukimya huu ni kwamba ulikuwa na safari njema na umeishapona jetlag ingawa toka Ulaya kwenda Afrika ni muda mfupi si sawa na kutoka huku Americas kwenda Afrika. Nichukue fursa hii kukutakia Noel na Mwaka mpya vyema huku nikukumbushia dagaa zangu. Najua, kwa sasa, umesishahau baridi na theruji ukiachia mbali frustrations za msimu.<br />Wasalimie wote ila usile sana likolo na nyungu, na linyungu ukavimbiwa bure.Ndugu Nkwazi N Mhangohttps://www.blogger.com/profile/11640087613265490788noreply@blogger.com