Tuesday, February 21, 2017

UJUMBE KUTOKA KWANGU KUJA KWENU

Kabla hujadhani, jifunze ukweli kwanza. 
Kabla hujahukumu , elewa kwanza ni kwanini.
Kabla hujamuumiza mtu, hisi kwanza. Na 
Kabla hujazungumza/sema, fikiri kwanza
NAWATAKIENI WOTE SIKU NJEMA NA KILA MUFANYALO LIWE JEMA!

5 comments:

NN Mhango said...

Je wewe huwa unajiuliza maswali hayo?

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango kwanza za masiku?
Kusema kweli pale ninapokumbuka huwa najiuliza. Nisapo hivi nina maana ni rahisi sana kusahau haya maswali.

NN Mhango said...

Habari za siku nyingi ni nzuri hasa nikizingatia kuwa huku baridi imepungua si haba. Nimeuliza hayo maswali kichokonozi hasa ikizingatiwa kuwa unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja, vine huwa vinakuangalia na isitoshe sisi ni binadamu.

Rachel siwa Isaac said...

Asante kwa kutukumbusha Kadala wa mimi.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango.. kwanza hongera kwa kupungua kwa baridi...kumbe muchokozi:-)... nimependa uchokozi wako

Kachiki wa mimi..nafurahi kama imekuwa ni kumbukumbu:-)