Wednesday, January 4, 2017

UJUMBE WA WIKI KUTOKA KWA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO

ANAYEKUTHAMINI MPE THAMANI YAKE HATA KAMA MASKINI BASI JALI UTU WAKE.
AU TU TUSISAHU HILI PIA
WATU WENGI  WANAHITAJI UPENDO ZAIDI  KULIKO WANAVYOSTAHILI.

NAWATAKIENI KILA LA KHERI. UPENDO DAIMA.

2 comments:

Okello Geoffrey said...

Changamoto kuu ni kutotambulika kwa maskini na jamii. Hata akitenda jambo la maana mara athaminiwi, sababu ni maskini.

Yasinta Ngonyani said...

Okelle..kwanza karibu sana katika kibaraza hiki...ahsante sana kwa mchango wako.