Monday, January 30, 2017

JIKONI LEO...KUOKA MIKATE

 Hii ni kazi ya mikono yangu...huwa napenda kuoka mikate mwenyewe kwa hiyo leo nimeoka ...hapa imekwisha umuka....
.....baada ya dakika 12 kwenye oveni tayari ....karibu  wale wapenzi wa mikate mimi napendaga magimbi bwana:-)

2 comments:

NN Mhango said...

Ibarikiwe kazi ya mikono yako na wafaidi watakaokula msosi huu wa uhakika. Ila chunga mafuta na sukari.

Yasinta Ngonyani said...

Amina...nawe wakaribishwa...haoa hakuna mafuta wala sukari..karibu sana