Saturday, December 25, 2010

NA NOELI ILIVYOKUWA LEO HAPA KWETU........


maandalizi kwa ajili ya mapishi ya pilau, mchele,viungo vya pilau, viazi mviringo, vitunguu maji na saumu, mafuta, chumvi, nyanya ,limau na nyama ya kuku badala ya ngómbe.




Hapa ni vitunguu na viungo



Mchele umetumbukia pia viazi.




Mpishi yupo katikati ya mapishi!!







Na hapa tunaona matokeo yake
Kachumbali

Hapa ni sahani yangu mmmhhh utamu.....
Edna karibu maana ulilalam ika jana kuwa hakuna halufu ya pilau na pia wengine wote mnakaribishwa kuna chakula kingiiiiiii pia vinywaji. Puh! kuwa mpishi ni kazi kwelikweli!!!
NAWATAKIENI WOTE NOELI NJEMA SANA!!!!


13 comments:

Anonymous said...

????????????????????????????????????
?????????????????????????????????????
???????????????????????????????????
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mija Shija Sayi said...

Asante sana Yasinta umenitamanisha kweli, Mungu akubariki na familia yako.

Happy Noel.

nyahbingi worrior. said...

kwa wale ambao wanavyo basi husherehekea vema hiyo siku yao ya noeli.

Matha Malima said...

yaani leo dada hayao madiko dko yamenifafnya niteremshe mate mpaka maana nimefungua asubuhi hii nahivyo sijanywa chai nimetamani kama ningekuwepo na mimi asante kwa kwa picha za chrissmass

PASSION4FASHION.TZ said...

Nyumba ya mbongo utaijua kwa harufu ya pilau......lol, safi sana Yasinta mimi nakula kwa ramani ya hicho chakula.....nimekitamani sana.Noel njema na wewe pamoja na familia yako kwa ujumla.Wasalimie sana watoto na shem.

EDNA said...

Heeeee jamani Da Yasinta mate yananidondoka asante kwa kunikaribisha...

Anonymous said...

Yaani hongera sana wewe dada, yaani huna makuu, yaani nakupa hongera sana kwa yote unayotuletea ktk blog yako, na pia huna maringo si kama dada zetu wengine waliolewa na wazungu utafikiri kitu gani, wanavyojiskia na masifa mengi ili mradi tuu, na kumbe mzungu ni mtu wa kawaida tu kama sisi ni rangi tu,,, cha msingi dada endelea hivyo hivyo na endeleza utamaduni wako wa kitanzania mungu akubariki pamoja na family yako.AMIN, Xmas njema.

Unknown said...

Dada Yasinta unanitamanisha sana, yaani mi najilia kwa macho tuu..hehe Nakutakia mafanikio mema, Ubarikiwe na familia yako pia

Mbele said...

Dada Yasinta, huo msosi nimeukubali. Lakini mbona ugali na mandondo ya Mbinga siyaoni? :-)

Yasinta Ngonyani said...

kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa wote kwa maoni yenu mazuri.Wakati nasoma nimetelemsha machozi. Natumaini wote mmesherekea x-mas vizuri. Na tuzidi kumwomba Mungu ili mwaka mpya nao uende vizuri.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

twala kwa njia ya tamaa....harufu hiyo, mweeeh!

aksante

Yasinta Ngonyani said...

Prof Mbele! Mandondo ya mbinga na Ugali vilikuwepo hivyo nivisahau tena?

Penina Simon said...

ok very delicious, unapendeza mama ukiwa kwa jiko