Wednesday, July 4, 2018

2/7 NI KUMBUKUMBU YA NDOA YETU IMETIMIZA MIAKA 25

2/7/ ilikuwa siku ya furaha kwetu ni miaka 25 ya ndoa yetu

Ni  chakula cha jioni ile nyama ya ngòmbe na viazi  pia kinywaji. Twamshukuru Mungu kwa safari hii ndefu.


4 comments:

Rachel siwa Isaac said...

hongereni sana wapendwa wangu,Mungu aendelee kubariki nyumba yenu.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi AHSANTE SANA . Nasi pia twamwomba mwenyezi Mungu awe nasi daima

Frey Nyoni said...

It is not easy ni kwa neema tu.. Pongezi kubwa kwenu

Yasinta Ngonyani said...

AHSANTE kaka Frey!