Tuesday, November 7, 2017

LEO NIMEKUMBUKA ZILIPENDWA


Hakika nisikilizipo miziki aina hii nakuwa na furaha ya pekee maana mtu waweza kusikiliza na kujifunza kitu ...JUMANNE NJEMA WAPENDWA WA ZILIPENDWA.

2 comments:

emuthree said...

Yah, ahsante ndugu wangu, zilipendwa dhahabu, kuzipata ni ajabu, wazipenda kwa adabu, ili upate thawabu.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante nawe pia ni muda sijakusikia nimefurahi sana... Karibu sana ndugu wa mimi