Monday, November 23, 2015

TUANZE JUMATATU YA LEO NA PICHA HII NA IWE PICHA YA MWEZI.....

Ni wasomi ambao ni Taifa la kesho, wakiwa wamevalia "kisomi zaidi" Najaribu kuwaza kama hapo mchakamchaka utaenda salama kweli? Au wenzangu unasemaje? Tuliangalie hili jambo kwa pamoja!!

3 comments:

Anonymous said...

Naona mabuti ya kike. Mchakamchaka hawa hawafiki mbali lazima waanguke! By Salumu.

NN Mhango said...

Ama kweli tumetoka mbali! Ni huzuni kuwa bado kuna watu wanaishi kwenye maisha haya yenye kukatisha tama. Tuombe Magufuli lau aondoe baadhi kwenye nakma na zahma hii.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu.... siku hizi hakuna kuchagua...ni kuvaa tu. Nakubaliana nawe hapo mchakamchaka ni kuanguaka tu.

Kaka Mhang! Tumetoka mbali sana ...Kufanya maombi twaweza