Sunday, November 29, 2015

MIMI "KAPULYA" NA DADA YANGU ANNA TWAPENDA KUWATAKIENI MWANZI MWEMA WA MAJILIO

Ndani ya migolole ntu na dada yako. Tumependeza eeehh-:) Wote kama tunavyojua majilio:- ni majuma manne ambayo ni kama kifananisho cha miaka elfu nne ambayo Wakristo hujiandaa kukumbuka siku aliyozaliwa Yesu  Kristo. Amina.

4 comments:

Anonymous said...

Mumependeza sana sana, yani ni 100% nawapa. Dada Anna anaishi wapi? Mumefanana mnooooo!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana Usiye na jina ingawa una jina :-) Dada Anna yupo anaishi Nairobi vipi Unamfahamu nini?

Anonymous said...

Simfahamu ila naona mmefanana sana, je ni ndugu wa damu au wa hiari? Ila mmefanana sana dada au?

Yasinta Ngonyani said...

Mmmhhh... naona unanifahamu sana kwa kupenda ndugu wa hiari..swali la uchokozi ndugu wa damu maana yake nini?