Tuesday, September 11, 2018

UJUMBE WA JUMANNE YA LEO KUTOKA KWANGU KUJA KWENU...

UJUMBE:- Kuna muda inabidi uanguke chini zaidi ya hapo ulipo ili uweze kusimama na kukaa juu zaidi ya hapo ulipo...
Hata siku moja usijaribu kukata TAMAA. Dharau, matusi na kebehi: havimzuii mtu kungára.
PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA HAPA HAPA...KAPULYA WENU.

2 comments:

Frey Nyoni said...

Hilo nalo neno...mwenye masikio na asikie

emu-three said...

Nashukuru sana kwa ujumbe wako ndugu wangu, mpendwa, japokuwa tumepoteana , katika kijiji hiki cha blog, lakini hatutaacha kukumbukana, TUPO PAMOJA