Friday, September 21, 2018

NAWATAKIENI MWISHO WA JUMA UWE MWEMA...HAYA TUFURAHI PAMOJA NA KIPANDE HIKI CHA NGOMA...Tuwukeee tuwukeee kamwimbo katamu sana. Natamani kuungana  nao na kucheza ila nabaki kucheza peke yaangu....NAWATAKIENI MWISHO WA WIKI HII UWE WENYE FURAHA NA AMANI! KAPULYA WENU

2 comments:

Frey Nyoni said...

Mmmmmh taaaaam haswaaaa

Yasinta Ngonyani said...

Si unajua ndugu yangu utaaaaam unavyokuwa:-)