Umuhimu wa kupendezauko wazi kwa kila mtu,mara nyingi mavazi yamekuwa kama kipimo cha utanashati,basi ili kuongeza mvuto yafaa kuongezea vitu vya pekee vilivyotengenezwa kwa ujuzi wa kimasai ili tu kuonyesha utofauti kimitindo na utanashati..
Kazi za mikono ya wapendwa wetu ambao wanadumisha utamaduni inapendeza sana
No comments:
Post a Comment