Friday, June 1, 2018

UJUMBE WA LEO IJUMAA YA KWANZA YA MWEZI HUU WA SITA...MAPENZI
Akupendaye atakuvumilia udhaifu wako wote hatakuhesabia makosa yako kwa kukata tamaaa juu yako bali atatafuta njia ya kukusaidia ujione mwenye thamani na kuwa na furaha maishani mwako
IJUMAA NJEMA NA MWANZO MWEMA WA MWEZI!...

2 comments:

emuthree said...

Na kweli hayo ndio mapenzi ya dhati

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu wa mimi yaani ww acha hakuna mtu asiyependa kupendwa kwa dhati