Thursday, June 7, 2018

LEO SIKU NZIMA NIMEKUMBUKA SANA LILONDO NA MATETEREKA HASA KWA NDIZI

HIZI NDIZI NI TAMU SANA
Wale watokao sehemu za kusini nadhani wananielewa ....miaka ile ya tisini ndizi zilikuwa bei poa sana ndizi 3 shiling 5 eeehh bwana eeeh aman kweli maisha. Sasa "kipambu" sijui ni kiswahili ni shilingi 2000....JIONI NJEMA

No comments: