Friday, June 9, 2017

IJUMAA: MITINDO YA NYWELE, UREMBO KWA UJUMLA NA VAZI LA SKETI ALIPENDALO KAPULYA WENU

 Nimependa mtindo huu wa nywele (MABUTU) na jinsi alivyojipamba kwa ujumla yaani ni kiasili haswaaa...SAFI SANA!
Na hii sketi duh! rangi za kitenge ni murwaaa na urefu wa sketi yaaani nikama ugalina samaki wa kuchuma kwenye mkaa!
NAWATAKIENI MWANZO  MWEMA WA MWISHO WA HILI JUMA

2 comments:

NN Mhango said...

Mie nimeuchukia mtindo huu hasa kutokana na jina chafu na la aibu. Mabutu aliibia Afrika na kutufanya tuonekana kama vikaragosi kama ilivyokuwa kwa Jakaya Kikwete na Yahya Jammeh hivi karibuni. Laiti ungepewa jina jingine si mtindo mbaya. Lakini mabutu. Hauna tofauti na manonihino.

Yasinta Ngonyani said...

Duh! kimechemka au nimechemsha!