Tuesday, January 27, 2009

MAISHA YA KIJIJINI

Nimekuja wakati mzuri wa kilimo. Angaieni hapo halafu simeni, mi sisemi kitu

5 comments:

Anonymous said...

Habari yako sister Yasinta.Kwa kweli nimefurahi sana kwa kutupa habari za huko nyumbani kwetu Songea na ningeomba utuwekee picha za towm yetu kwani ni muda mrefu sana sijafika huko na kama utapata nafasi mtembelee mzee wetu yupo hapo Songea anaitwa Songambele.

Anonymous said...

Nakuona dada hapo unapiga jembe,ama kweli likizo ninzuri sana unakula chakulu flesh.Samahani dada wewe una undugu na yule Ngonyani aliyekuwa mwanajeshi?

Simon Kitururu said...

Naona kazi inaendelea na hapohapo uko gym!Kazi na mazoezi mumo kwa mumo.:-)Safi sana!

PASSION4FASHION.TZ said...

Sasa mtani kulima umelima nani atavuna?

Yasinta Ngonyani said...

usiwe na shaka kila kitu kitaenda safi. Asante kwa kuuliza