Saturday, May 30, 2009

LEO NI SIKU YA AKINA MAMA HAPA SWEDEN =(MORS DAG)


Hapa Sweden leo ni siku ya akina mama duniani. Nasi leo tumeamua kumpongeza mametu mpendwa ktk blog yake ni sisi Camilla na Erik. Tunampenda sana mametu hasa akiwa na hasira, huwa tunapata kila kitu tutakachotaka.( kwa niaba ya mama)

Ok, basi nami nimepata nafasi ya kusema machache ni kwamba. Najua sehemu nyingine siku hii imeshapita ila hapa Sweden ni leo. nami napenda kuwapa pongezi akina mama wote duniani bila kumsaau mamangu. NAWAPENDA AKINA MAMA WOTE DUNIANI.NA TUTAFIKA TU.

30 comments:

Anonymous said...

du watoto wamepinda hawa, eti wanampenda mama yao akiwa amekasirika, du, hiyo noma sana. na wewe Yasinta ukikasirika ndio unatoa kila kitu?

Mbele said...

Watoto mnafanya vizuri kumpenda mama yenu na kumkumbuka namna hiyo. Nimeona picha zenu mkiwa sehemu mbali mbali Ruvuma, hata pwani ya Ziwa Nyasa. Safi sana.

Mzee wa Changamoto said...

Yasintaaaa. Nilishasema kuhusu hii siku na napenda urejee yale niliyokueleza Dada
Unapendwa na wanao lakini ni wengi wakupendao pia.
Ni kwa kuwa kinaMama (wema) wanastahilki kupendwa kutokana na kupenda kwao
Siku njema

Mwanasosholojia said...

Hongereni sana! Nipo Bongo tayari, naungana nanyi katika siku hii! Peace and Love!

Fadhy Mtanga said...

Hongereni sana....ghafla nimeishiwa maneno...ngoja..,labda niseme

iwe siku ya furaha,
ya wewe kuwa na raha,
wala usipatwe karaha,
Mungu amekubarikia.

Unao watoto wazuri,
Ambao kwako ni fahari,
Wape malezi mazuri,
Kesho utajivunia.

Nimejaribu?

Albert Kissima said...

Hongereni kina mama wote wa huko Swiden na wanawake wote duniani.

Dada Yasinta, hii siku inasherehekewa vipi huko, kauli mbiu inasemaje?

Bila shaka unauzoefu na siku hii namna inavyoadhimishwa hapa Tanzania.
Kuna utofauti wowote na namna huku kwetu wanavyoadhimisha.Ninavyojua huku kinamama wengi huwa hawaoni umuhimu wa siku hii kiasi kwamba siku hii inaweza kupita bila hata kinamama wengine kufahamu.

Yasinta Ngonyani said...

kwanza niseme asanteni sana wote nami pia napenda kusema GONGERENI SANA akina mama.

Kissima ni kweli akima mama TZ siku kama hii hawaijui kabisa. Ni sawa na siku ya kuzaliwa pia wengine hawajui hata wana miaka mingapi.

Ok ni hivi hii siku hapa ninasheherekewa hivi:- Asubuhi uamukapo unaletewa chakula cha asubuhi pale ulipo, unapata zawadi mi leo nimepata heleni. Yaani hii inakuwa siku yako ni kukaa tu na kupata raha. inakuwa siku ya mama. je umeridhika na maelezo yangu?

Ivo Serenthà said...

I do not understand the language of Tanzania, the houses you've seen on Travel and you are liked, I hope that your desire is true.


You are very charming with your costume

A kiss, Marlow

Anonymous said...

heyyy we mlongo,
Nimefurahi sana kusoma blog yako. Hapa Wurzburg wikiendi hii ni Afrika festival, basi tunajinoma kwelikweli kwa kula ugali na na mchicha wa karanga. Lakini jana kulikuwa na Konseti moja ya mwanamke mmoja wa Mali alinifurahisha sana. Kwani ni mmoja wa watetezi wa wakina mama sana. Basi nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuwa mmoja wa wanawake,na mama ambaye anachukua majukumu yake ya kila siku kama mzazi. Na akina mama wote duniani akiwepo mama yangu pia nawapenda sana.

nampangala said...

Mlongo nami pia nakutakia kila la kheri kwa siku hii hjema ya kina mama. na shukrani kwa kutumbuka sisi wakinamama wengine.na hongela sana kwa kupata zawadi ya heleni na nakutakia mapumziko mema kwa siku hii yako you deserve it.

Israel Saria said...

Asante kwa kunikumbusha Mama, sijamuona siku nyingi mama yangu, na hii inanisumbua sana..nitajitahidi sana ili niweze kwenda Nzunguni, pale Dodoma alipo ili nikampe salaam,naamini ni muhimu. asante Bi Maisha, kwa kutukumbusha vijijambo.

Anonymous said...

Siku kama hii ni vyema mama zetu kufanya mambo mbali mbali ya kijamii ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watoto yatima sijui kama huko walifanya hivi ,huku kwetu Tanzania siku kama hii huwa yanafanyika haya nimependa sana kunikumbusha kwani sikuwa na habari juu ya siku hiyo hongera Yansinta Mwana wa Ngonyani

Anonymous said...

Siku kama hii ni vyema mama zetu kufanya mambo mbali mbali ya kijamii ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watoto yatima sijui kama huko walifanya hivi ,huku kwetu Tanzania siku kama hii huwa yanafanyika haya nimependa sana kunikumbusha kwani sikuwa na habari juu ya siku hiyo hongera Yansinta Mwana wa Ngonyani
By Francis Godwin

Albert Kissima said...

Nimeridhika dada Yasinta.

mumyhery said...

http://chumvi.tripod.com/kwetu2.wav

usisononeke jiburudishe kidogo

NURU THE LIGHT said...

grattis på mors dag yasinta o vad fin du är...

Yasinta Ngonyani said...

Ivo serentha and frienda thank you.

Mongo wa kuWrzburg usengwili ubwelii kawili. Na veve mlongo yungi usengwili koto kuchoka kunigendela.

Israel asante, na natumaini umesema kweli umemkumbuka mamako.

Nawe usiye na jina ahsante sana

Kissima nashukuru kama umeridhika

Dada Mariamu asante.

Nuru, Tack så mycket för allt.....kram!
Na wote kwa ujula nawapendeni na mungu awabariki . TUPO PAMOJA.

Anonymous said...

It's difficult to find knowledgeable people for this topic, but you seem like you know what you're tаlking аbout!
Thanks
Feel free to visit my homepage ; loans for bad credit

Anonymous said...

ӏ have beеn surfing on-line greater thаn three hours theѕe days,
but I nеѵeг diѕсοѵered аny fascinatіng aгticle likе уοurs.

It's beautiful price enough for me. Personally, if all webmasters and bloggers made just right content material as you did, the web shall be much more useful than ever before.
My web site - how to stop snoring

Anonymous said...

I like the valuable info you provide in youг articlеs.
Ι wіll bookmark your weblog and check again heге regularly.
I'm quite sure I will learn a lot of new stuff right here! Good luck for the next!

Here is my blog post: instant cash

Anonymous said...

Right here is the perfect site for anybody who really wants to find out about this topic.
You realize a whole lot its almost tough to argue with
you (not that I actually would want to…HaHa). You definitely put a brand new spin on a subject which has been written about for ages.
Excellent stuff, just wonderful!

Look at my webpage ... Suggested Webpage

Anonymous said...

Ι like the helpful іnfo you provide іn your artiсles.

I'll bookmark your blog and check again here regularly. I'm quіte ceгtain I'll learn plenty of new stuff right here! Best of luck for the next!

my web blog - payday loans online

Anonymous said...

This pieсe of ωгiting offers
clear idea in support of the new people of blogging,
that actually how to do blogging anԁ site-building.


Feеl free to visit my web-site :: small loans
my site - small loans

Anonymous said...

It's the best time to make some plans for the future and it'ѕ timе to
be happy. I've read this post and if I could I desire to suggest you few interesting things or tips. Perhaps you could write next articles referring to this article. I desire to read even more things about it!

my web page: payday

Anonymous said...

Еxcellеnt beаt ! I woulԁ
lіke to apρгеntiсе while you amenԁ
your web ѕite, how can і subѕсribe for a blog wеb site?
Thе acсount hеlped me a аcсeрtablе deal.

I had been a little bіt acquаinteԁ of
thіs yоuг broadcаst provіded bright clear
іdеa

Alsο visit my web ρаge payday loans uk

Anonymous said...

It's remarkable designed for me to have a website, which is valuable designed for my experience. thanks admin

Look into my site ... Full Post

Anonymous said...

Hi, this weekend is nice in favor of me, because
this moment i am reading this impressive educational piece of writing here at
my home.

Here is my website ... Our site

Anonymous said...

whoah this blog iѕ exсellent i really like гeаding your рosts.
Stay up the good worκ! You undeгѕtanԁ,
many peoplе аre searchіng round for this info,
you cаn aid them gгеаtly.


Mу ωeb page - Same Day Payday Loans

Anonymous said...

Hi terrific website! Does running a blog similar to this require a great deal of work?

I've absolutely no knowledge of computer programming however I was hoping to start my own blog soon. Anyhow, should you have any suggestions or tips for new blog owners please share. I understand this is off subject but I just needed to ask. Kudos!

my site ... book of ra app ipad

Anonymous said...

Magnificent beat ! I would like to apprentice at the same time
as you amend your site, how could i subscribe
for a blog web site? The account aided me a appropriate deal.
I had been a little bit acquainted of this your
broadcast offered shiny clear idea

my web-site: bokk of ra