Showing posts with label maisha kumbukumb.. Show all posts
Showing posts with label maisha kumbukumb.. Show all posts

Thursday, October 28, 2010

WANABLOGGERS KUKUTANA JANA MJI WA TAMPERE


Malkiory Matiya na Mtakatifu Simon Kitururu
wakutana uso kwa uso!!!

Wanablogger hawa walikutana jana katika mji wa Tampare. kujua nini kilitokea huko bonyeza
Mtakatifu Simon na pia Malkiory Matiya. Ila jamani ugimbi huo mmmmhhh!!!