KILINDA SAMUEL MBOGO
Jumapili 22/6 Kijana Kilinda alipata komonio yake ya kwanza. Bahati mbaya sikupata nafasi kwenda kuhudhuria siku hii. Ila nimehudhuria kwa kuangalia picha kama muonavyo. Nimetumiwa picha nami nimeona niwashirikishe wenzangu maana baadhi yetu tunakumbuka sana siku hii...HONGERA SANA KILINDA SAMUEL MBONGO KWA SIKU HII...HII NI ZAWADI YANGU KWAKO....SHANGAZI YAKO YASINTA a.k.a Kapulya/kadala.





