Showing posts with label Shukrani kwa mungu kutimiza mwaka mwingine tena. Show all posts
Showing posts with label Shukrani kwa mungu kutimiza mwaka mwingine tena. Show all posts

Monday, January 6, 2020

JANA JUMAPILI 5/1 ILIKUWA KUMBUKUMBU YANGU YA KUZALIWA...NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNILINDA NA KUUONA MWAKA MWINGINE TENA!

 Jana tarehe 5/1/2020 mdada huyu ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.
Na hapa ni zawadi alizozawadiwa na famili pia marafiki zake. Bila kusahau kikombe cha chai 
Kwa vile ni msimu wa baridi nimepata zawadi ya kofia pia...
Muda wa chakula ulipofika...kwanza ni  LOBSTER  ambayo ina viungu vya asili na kitunguu saumu



Na mlo mkuu ulikuwa ni chakula kikuu cha KAPULYA ni SAMAKI ...kwa viazi  maalumu.
NAPENDA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA YOTE .