USAFIRI WA BAISKELI....SAFARI YA KWENDA SOKONI
Showing posts with label ndizi. Show all posts
Showing posts with label ndizi. Show all posts
Wednesday, November 15, 2017
Wednesday, May 3, 2017
PALE MNGONI ANAPOTAMANI KWAKE RUHUWIKO KULA ALIVYOPANDA
KAZI YA MIKONO YANGU ..NDIZI
Tuesday, August 30, 2016
KARIBUNI TUJUMUIKE KATIKA MLO HUU AUPENDAO KAPULYA......
Mlo ni ni kachumbali, safu ya kwanza kwenye hicho chombo cha bluu karibu na kachumbali ni mihogo,katikati ni viazi vitabu na mwisho ni ndizi....
.....na hapa ni sahani yangu ilivyojazwa na cha kuteremshia ni kinywaji cha uhai si kingine ni MAJI
lebo:
chakula cha asili,
mihogo,
ndizi,
viazi vitamu
Tuesday, January 27, 2015
JINSI KAPULYA ALIVYOINASA TASWIRA YA LILONDO....AKINA MAMA WAJASILIAMALI....
Hapa ni Lilondo, huwezi kupita hapa bila kusimama ni kijiji chenye ndizi nyingi sana kama unavyoona akina mama wajasiliamali wanavyochangamka wakati basi la Super Feo liliposimama. Kwa hiyo upitapo Lilondo usikose kusimama kununu ndizi... maana kuan kila aina uwezo wako tu..karanga pia. PAMOJA DAIMA!!
Friday, October 31, 2014
IJUMAA NA JIONI NJEMA KWA WOTE...KARIBUNI NDIZI!!
Hakuna ndizi tamu kama hizi kule kwetu tunaziita "kaporota" ni tamu sana nazipenda mno. Je kuna ndizi nawe uzipendazo sana?
Tuesday, July 15, 2014
LEO NINGEPENDA SANA KULA MLO HUU..NDIZI
Nimetamani sana mlo huu...ndizi ila basi tu. Ila si siku nyingi bado nitapika mlo huu na kuula...hasa nikiendaMatetereka nitakula mpaka kushindwa....SIKU NJEMA KWA WOTE!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)





