MAISHA NA MAFANIKIO
Showing posts with label
kale
.
Show all posts
Showing posts with label
kale
.
Show all posts
Monday, December 17, 2018
LEO NIMEKUMBUKA MITINDO YA ZAMANI JINSI WATU WALIVYOKUWA WAKIPEANA HISIA ZAO
Hapa itakuwa anaenda kisimani ndoo kaficha sehemu, hivi unafikiri kwa nini hawaangaliani?
Hapa yaonekana mdada anaenda kutafuta kuni
...na mtindo huu ni kiboko wote wanaonekana kuwa na aibu ...
....hii ni baadhi ya mitindo ya hapo kale. Au pia watu walikuwa wakiandika barua au kumtuma mtu. Siku hizi eti mtu anatuma sms ya kawaida au WhatsApp
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)