Showing posts with label jumapili. Show all posts
Showing posts with label jumapili. Show all posts
Sunday, March 11, 2018
Sunday, November 19, 2017
Sunday, August 20, 2017
NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI NJEMA KWA NENO HILI....
......Yeye ajibuye kabla hajasikia, ni mpumbavu na aibu kwake
MITHALI 18:13
JUMAPILI NJEMA IWE YENYE AMANI, FURAHA NA BARAKA. TUSIKILIZANE KWA MAKINI NA PIA TUPENDANE!
MITHALI 18:13
JUMAPILI NJEMA IWE YENYE AMANI, FURAHA NA BARAKA. TUSIKILIZANE KWA MAKINI NA PIA TUPENDANE!
Sunday, May 28, 2017
TUMALIZE JUMAPILI YA MWEZI HUU WA TANO KIHIVI,,,ASUBUHI NA NAFASI MPYA YA NDOTO ZAKO KUWA DHAHIRI
Asubuhi ni nafasi mpya ya kuzifanya ndoto zako kuwa dhahiri:- Fursa mpya, mipango mipya ...huja katika fikra.
Usifikiri sana kuhusu jana, juzi wala siku yoyote ambayo pengine ulikosa au ulishindwa jambo fulani...anza siku ya leo kwa kukiri kuwa itakuwa siku njema kuliko nyingine zote.
Siku, ni sehemu ndogo katika "MAISHA" ambayo Mungu hutuzawadia. Itumie vizuri, ifanye iwe ya MAANA KWAKO, USIPOTEZE TUMAINI....USIKATE TAMAA MUNGU YUPO PAMOJA NAWE SONGA MBELE DAIMA . Kumbuka "unaweza mambo yote katika yeye (MUNGU) akutiae nguvu" FIL 4:13 NAKUTAKIA ASUBUHI NJEMA, SIKU NA JUMAPILI YENYE BARAKA, AMANI NA FURAHA. AMINA!

Sunday, March 12, 2017
NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOTE ...
"Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake" WAFILIPI 2:3....
JUMAPILI NJEMA BARAKA ZA BWANA NA ZITAWALE NYUMBANI MWENU.
JUMAPILI NJEMA BARAKA ZA BWANA NA ZITAWALE NYUMBANI MWENU.
Sunday, February 12, 2017
UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI....JUMAPILI NJEMA!
Kweli hapa kuna haja ya kuwita baba maana hakuna jinsi. NAWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI YENYE AMANI NA FURAHA.
Sunday, October 23, 2016
Sunday, September 11, 2016
JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGU KATIKA BWANA...UJUMBE TOKA KWA DADA MARTHA MWAIPAJA NNAIONA KESHO
Nimeupenda huu, natumaini hata wewe umeupenda ...JUMAPILI NJEMA!!
Sunday, July 3, 2016
UJUME WA JUMAPILI HII YA KWANZA YA MWEZI HUU WA SABA:- JUMAPILI NJEMA!
Kuna jambo linaweza kuja kwako kwa sura mbaya yenye kuumiza, lakini mwisho wake ukawa mzuri wenye utukufu, furaha na ushindi. Usikate tamaa kwa lolote unalopitia hujui mwisho wa hilo kuna nini. JUMAPILI NJEMA KWA YEYOTE ATAYEPITA HAPA!...
Sunday, June 19, 2016
JUMAPILI YA LEO TUPO KATIKA KIINI CHANGU NYUMBANI LITUMBANDYOSI...NA HILI NDIYO KANISA LETU
Kanisa hili ndilo alilosali babu, bibi, shangazi baba yangu na karibu wanafamilia wote wa Ngonyani husasani mimi Kapulya na nimeshawahi kusali katika kanisa hili na familia yangu....USISAHAU ULIKOTOKA NYUMBANI KWA BABA YAKO NI NYUMBANI KWAKO.....JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!
Sunday, May 22, 2016
NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA...UJUMBE- MAVUNO....
ZAO LA MAHINDI
Unapopanda mbegu huwa unategemea kuvuna mazao mengi...Hii picha nimetumiwa na ndugu yangu wa karibu sana. Utavuna ulichopanda. NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA.
BASI TUMALIZIE NA WIMBO HUU WA MAVUNO WA MIRELLE BASWIRA NA CHRISTINA SHUSHO.........KARIBUNI!
Sunday, March 27, 2016
KUTOKA MAISHA NA MAFANIKIO TWAWATAKIENI WOTE PASAKA NJEMA SANA
Katika hili tumelifahamu pendo, kwa kuwa yeye alitoa uhai wake kwa ajili yetu, imetupasa na sisi kuutoa uhai wetu kwa ajili ua hao ndugu. Yoh. 3:16.
Pasaka njema na jumapili njema sana !!!
Sunday, January 31, 2016
JANA JUMAMOSI YA TAREHE 30 /1/2016 ILIKUWA KUMBUKUMBU YA MT.YASINTA MTAWA...
Mt Yasinta Mtawa
Leo tunamkumbuka Mt Yasinta mtawa.Alizaliwa Viterbo,Italia mwaka 1585.Alisoma katika shule ya masista hapo Viterbo.Yeye alilazimika kuingia utawa katika shirika la Wafranciscan,baada ya kuugua na kuitiwa Padri kwa ajiri ya kumkomunisha.Padri alipoingia chumbani kwake,aliona kuwa Mt Yasinta aliishi maisha mabaya.Padri alimshauri kubadili mfumo wa maisha yake.Aliingia utawa,akafuata ushauri wa Padri.Miaka 24 baadaye,akiwa mtawa,aligeuka kuwa mfano wa kila kitu chema.Tabia njema,UchaMungu,na kusaidia watu wote.Alikufa mwaka 1640 Januari 30.Alitangazwa mwenyeheri Septemba 1,1726.Alitangazwa mtakatifu mwaka 1807 Mei 24 na Papa Pius wa Vll
Watakatifu wengine wa Leo ni
Mt. Aldegunais
Mt. Aleaunie
Mt. Alexander
Mt. Armentarius
Mt. Armentarius
Mt. Barsimaeus
Mt. Bathildis
Mt. Felician
Mt. Hippolytus
Mt. Martina of Rome
Mt. Matthias wa Jerusalem
Mt. Mutien-Marie Wiaux
Mt. Savina wa Milan
Mt. Tudy
NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA! NA TUMWOMBE MT. YASINTA ATUOMBEE WOTE!

Sunday, November 1, 2015
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE JUMAPILI HII YA KWANZA YA MWEZI WA KUMI NA MOJA....NA WIMBO HUU:- AMANI YA TANZANIA NI NGUZO IMARA......
Namshukuru Mungu tangu uchaguzi umeanza mpaka leo kumekuwa na AMANI na nazidi kumwomba Mwenyezi Mungu amani na utulivu vizidi kuendelea. Pia namshukuru Mungu kwa kutulinda na kutuepusha na magonjwa makubwa. Sisi sote ni ndugu na watoto wa baba mmoja kwa hiyo tupendane na tukumbukane.....Kapulya!
Sunday, October 18, 2015
NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA NA JIONI NJEMA!!!!
Amani upendo na furaha itawala katika nyumba zetu. JUMAPILI NJEMA SANA PIA JIONI NJEMA...KAPULYA!!!!
Sunday, September 6, 2015
NNAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA KWANZA YA MWEZI HUU WA TISA (9) KWA USEMI HUU
Ukisha muamini Mungu basi yatosha, ya walimwengu waachie wenyewe!!
BARAKA NA UPENDO WA BABA MUNGU MWENYEZI VWEE MIOYONI MWETU KILA WAKATI.
BARAKA NA UPENDO WA BABA MUNGU MWENYEZI VWEE MIOYONI MWETU KILA WAKATI.
Sunday, May 10, 2015
NACHUKUA FURSA HII KWA KUWATAKIENI WOTE MTAKAOPITA HAPA JUMAPILI NJEMA SANA.:- UHAI WA BINADAMU- UWEZO WA KUFIKIRI...
Kutokea kwa binadamu ulimwenguni ilikuwa hatua kubwa mpya ya kwenda mbele, badiliko kubwa ajabu. Sasa siyo nguvu na uhai tu vilivyokuweko bali kulikuwa na uwezo wa kufikiri pia. Binadamu alikuwa na akili. Katika binadamu uhai uliweza kujitambua wenyewe kuwa unaishi.
Katika hatua hii Mungu alikamilisha kazi yake ya kuumba. Kwa milioni nyingi za miaka Mungu alikuwa akiugawia ulimwengu nguvu yake, akiushirikisha katika uhai wake. Sasa kumbe, ameushirikisha katika uwezo wa akili yake, uwezo wa kujitambua yeye mwenyewe. Na binadamu pia amefanywa kuweza kujitambua yeye mwenyewe, na kumjua Mungu.
Chanzo, kitabu:- Njia yetu kwa mapendo na ndoa.

Sunday, March 15, 2015
SALA YA LEO...AMBAYO IMETUNGWA NA KAPULYA WENU.
Sunday, October 26, 2014
UKIPATA MUDA SIKILIZA WIMBO HUU KWANI MIMI NASIKILIZA ....JUMAPILI NJEMA!!!
NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA!! KAPULYA
Sunday, July 27, 2014
TUIMALIZIE WIKI HII NA MREMBO HUYU...MWANAMKE WA SHOKA DADA MKUU MSAIDIZI WANGU
Kanga zina matumizi mengi na hasa ukimpata anayeweza kutumia kama dada yetu hapa. Binafsi nimependwazwa sana na alivyopendeza
Hapa pia safi sana. Picha kwa idhini ya da´Mija...mwanamke wa shoka. JUMAPILI IWE NJEMA SANA KWA WOTE.
Subscribe to:
Posts (Atom)