Hao ni wanafunzi ambao wanasoma katika wakati Mgumu na kwenye mazingira Magumu Je? Wizara ya Elimu inafikiriaje hili swala?. Ni jabu kwa nchi kama Tanzania ambayo ina umri zaidi ya Miaka 50 sasa wanafunzi kusomea chini ya miti na walimu kufundisha katika mazingira magumu kama hayo.
Je unategemea wanafunzi hao wataelewa? na Je? hii ndio Elimu Bora au Bora Elimu? kama kawaida palipo na wengi pana Majibu au Mjadala haya Wasomaji wenzangu karibuni tutafakari kwa pamoja na ikiwezekana tuchukue hatua........Kapulya wenu....PAMOJA DAIMA
