Thursday, September 8, 2016

ELIMU:- WIZARA YA ELIMU MPO...WANAFUNZI WANASOMA KATIKA WAKATI MGUMU NA WALIMU KUFUNDISHA KATIKA MAZING MAZINGIRA MAGUMU...

Hao ni wanafunzi ambao wanasoma katika wakati Mgumu na kwenye mazingira Magumu Je? Wizara ya Elimu inafikiriaje hili swala?. Ni jabu kwa nchi kama Tanzania ambayo ina umri zaidi ya  Miaka 50 sasa wanafunzi kusomea chini ya miti na walimu kufundisha katika mazingira magumu kama hayo.
Je unategemea wanafunzi hao wataelewa? na Je? hii ndio Elimu Bora au Bora Elimu? kama kawaida palipo na wengi pana Majibu au Mjadala haya  Wasomaji wenzangu karibuni tutafakari kwa pamoja na  ikiwezekana tuchukue hatua........Kapulya wenu....PAMOJA DAIMA

2 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Inatisha,inachusha, inasikitisha na kuumiza. Sijui kama namna hii Afrika itafika. Kwa wale ambao hatukupitia mazingira haya tumshukuru sana Mungu. Shukruni Zaidi wale ambao watoto wao hawataonja hii dhuluma na mateso. Mungu tusaidie tuondokane na ujinga, umaskini, ufisadi, maradhi, dhuluma, uongo, uganganjaa na upuuzi mwingine vinavyotukwamisha kama bara na watu.

Yasinta Ngonyani said...

Mwal. Mhango kwa kweli inauma na inasikitisha sana kuona mpaka leo bado nchi yetu ipo hivyo....