Ni hivi:- Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ?
NAWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA JUMA HILI!!!!
Showing posts with label chemsha bongo. Show all posts
Showing posts with label chemsha bongo. Show all posts
Monday, August 20, 2012
Saturday, August 11, 2012
CHEMSHA BONGO YA JUMAMOSI YA LEO!!!!
Nani anapata mshahara bila kufanya kazi hata siku moja katika maisha yake yote?
JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!!!
JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!!!
Monday, November 15, 2010
CHEMSHA BONGO YA JUMATATU YA LEO!!!
Katika kijiji kimoja kulitokea kuwa na penya wengi sana. Na wanakijiji wakaona wampe paka mmoja na rafiki zake kazi ya kuua wale panya. Baada ya mwaka mmoja paka waote walikuwa wameua idadi ya panya sawa, jumla walikuwa wameua panya 1111111, na kila mmoja paka aliua zaidi ya idadi ya panya zaidi kuliko idadi ya paka walikuwa. Je? Ni paka wangapi walikuja kijijini?Friday, April 17, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)
