Showing posts with label ujauzito. Show all posts
Showing posts with label ujauzito. Show all posts

Friday, March 20, 2009

MAISHA YA UJAUZITO+UTAMADUNI +UASILI



Kwa nini watu tunapoteza pesa kununua nguo za bei mbaya.Mnajua mara nyingi nimekuwa najiuliza kweli kiumbe hai kitakaaje humu tumboni miezi tisa. Mungu kweli ana miujiza yake. Ila pia akina mama tuna kazi kubwa sana. Huu mvao wake nimeupenda.
IJUMAA NJEMA KWA WOTEEEE!!!