Mfanyie mtu mambo/jambo mazuri/zuri na mema akiwa hai, kwa sababu chochote utakachomfanyia aliyekufa hakina maana kwa vile hatasikia.
NAWATAKIENI SIKU NJEMA
Showing posts with label SHUKURANI. Show all posts
Showing posts with label SHUKURANI. Show all posts
Tuesday, March 13, 2018
Wednesday, December 18, 2013
NAPENDA KUTOA SHUKRANI WA WOTE MLIOTUFARIJI KWA MSIBA WA BIBI YETU..
Shukrani nyingi ziwafikieni wote mliokuwa pamoja nasi katika sala na kutufariji kwa kupitia hapa Maisha na Mafanikio na pia mail pia ujumbe wa simu ya kiganjani. Mwenyezi Mungu na azidi kuwapa upendo. Na sasa hivi tu nimepata taarifa kuwa zoezi la kumsindikiza bibi yetu kwenye nyumba ya milele zimeenda safi. Ahsante Mungu...Pumzika kwa amani bibi yetu mpendwa.
Tuesday, April 30, 2013
SHUKRANI KWA WOTE MLIOSHIRIKI NASI KATIKA KIPAIMARA CHA BINTI YETU..AMBAYO NI SEHEMU/HATUA YA MAISHA KATIKA MAISHA/KUISHI!!!!
Nachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote mliohudhuria siku hii ya kipaimara cha binti yetu iwapo kiukaribu au kwa umbali..Mwenyezi Mungu awazidishie Upendo. Kwa vile Mwanakipaimara anajua kiswahili amesoma maoni ameniagiza kusema AHSANTE SANA kwa kuwa naye kwa siku hii maarufu katika hatua za maisha...AHSANTENI..NA MUWE NA JUMANNE NJEMA..KAPULYA NA FAMILIA.
Friday, February 1, 2013
IJUMAA YA LEO NAPENDA KUTOA SHUKRANI KWA WAFANYAKAZI WENZANGU KWA YOTE MEMA NA HASA SIKU HII JINSI WALIVYOIFANYA KUWA SIKU YA FURAHA KWANGU!!!
Leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wafanya kazi wenzangu kwa kuikumbuka siku yangu ya kuzaliwa kwa keki ila haipo kwenye piacha na pia haya maua...ingawa ilikuwa tarehe 5/1.tarehe hii nilikuwa nyumbani TZ.Kwa hiyo ilikuwa ilikuwa mshtuko kwangu kidogo maaana siku zilikuwa zimepita. Ni furaha ilioje kuona kuwa kuna watu wanakuthamini, wanakujali na wanakupenda kihivyo. Ahsanteni sana na mwenyezi Mungu awajalia upendo zaidi..
Na hapa ndio wao wafafanyakazi wenzangu isipokuwa katika picha anakosekama mmoja...hawa ni kama familia yangu ya pili..ahsanteni sana.....
Friday, October 12, 2012
KUMSHUKURU/KUSALI KABLA NA BAADA YA CHAKULA...!!!
JE? Wewe msomaji una tabia ya kufanya hivi kabla ya kula na baada ya kula? au unafikiri hawa wanafanya nini hapa?
Monday, February 21, 2011
HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KWAKO CAMILLA !!!/Grattis på Födelsedagen Camilla!!!
Miaka 13 imepita leo tangu binti yetu Camilla azaliwe. Ni binti ambaye anapenda sana kusoma, kuandika, kucheza mpira wa mikono (handball) anapenda michezo ya kuigiza na kuimba. Twakuomba Mwenywezi Mungu uwe /uzidi kumbariki binti yetu Camilla azidi kuwa kama alivyo. Na pia twakuomba uzidi kutupa sisi wazazi/walezi nguvu ya kumlea ili azidi kuwa binti mwema na mwenye busara. CAMILLA HONGERA SANA KWA SIKU YA KUZALIWA.!!!!!na hapa ni mziki ambao napenda kusikilizakwa hiyo leo ni siku yangu na nataka kusikiliza pamoja nanyi
.
Sunday, January 2, 2011
JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA 2011/JUMAPILI NJEMA WANDUGU
Ni jumapili ya kwanza ya mwaka. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka leo hii. JUMAPILI NJEMA JAMANI
Subscribe to:
Posts (Atom)

