Showing posts with label Picha ya watumwa na Yasinta. Show all posts
Showing posts with label Picha ya watumwa na Yasinta. Show all posts

Friday, February 6, 2015

IJUMAA YA LEO TURUDI TENA ZANZIBAR !!!

Nilimwuuliza aliyetuongoza (guide) kama ningeweza kutumbukia humo shimoni na kupigwa picha. Lakini alisema hairuhusiwi. Hakika ndugu zetu waliteswa sana halafu mbaya zaidi hawakuwa wanaume tu hata wanawake pia watoto. Niwachekeshe kitu  huyu guide weyu alikuwa na vichekesho mno akaniambia nami nilionekamna kama mmoja wao:-)  IJUMAA NJEMA!