Showing posts with label mwanzo wa bustani 2015. Show all posts
Showing posts with label mwanzo wa bustani 2015. Show all posts

Saturday, May 16, 2015

SASA TUNAANZA NA ILE BUSTANI YETU....RASMI NIMEANZA LEO FUATANA NAMI KUONA MAENDELEO...

 Kama unaona kijana kijana ni vitunguu saumu ambavyo nilipanda mwaka jana  vimekuwa tosha kula..:-)
Ni raha ilioje kuanza tena kulima bustani..maaana mikono ilikuwa inawasha sana ..nimepatika mchicha, chainizi, figiri mboga maboga nk.  Ni Kapulya wenu ------