Showing posts with label kinywaji. Show all posts
Showing posts with label kinywaji. Show all posts
Tuesday, October 11, 2011
SAFARI YETU YA NYUMBANI TANZANIA HATUKUKOSA KUWASALIMIA MARAFIKI/WENYEJI WETU PIA:SHAMBA LA KAKAO HAPA NI MATEMA BEACH
Thursday, March 10, 2011
TANGAZO:-.PATA KITU AMBACHO ROHO INAPENDA!!!
Kiluvya Pub-Kituo cha starehe kwa watu makini.Nina marafiki zangu wengi wanaiongelea sana Kiluvya Pub. Nafikiria nikifika Bongo nitajitahidi nifike kujionea mwenyewe. Wanasema walitembelea na wakapenda huduma zao. Ninawashauri muende pia mkajionee wenyewe. Wanasema si Pub zote Bongo kuna huduma nzuri kama Kiluvya pub, kwa muziki na vinywaji.
Kwa waliopo Dar hata nje ya Dar mnakaribishwa ndani ya Kiluvya Pub-Kituo cha starehe kwa watu makini.
Kila kinywaji kinapatikana kwa bei nafuu pia kila aina ya chakula kwa order maalum vinapatikana.
Kwa maelezo zaidi tembelea http://www.kiluvyaspub.blogspot.com/

Sunday, March 15, 2009
KARIBUNI CHAI BORA+JUMAPILI NJEMA

Ukitaka kukosana nami basi ninyime chai, tena bila sukari hapo tutakosana sana. Kama wasemavyo wakati wowote ni wakati wa chai.
lebo:
burudani afrika,
chai,
kinywaji,
Kumbukumbu,
raha,
tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)