Showing posts with label mwonekano mpya 2016 wa nywele. Show all posts
Showing posts with label mwonekano mpya 2016 wa nywele. Show all posts

Tuesday, August 9, 2016

MWONEKANO MPYA WA KAPULYA WENU... WA MWAFRIKA HALISI KABISA...


Hapa sijui mapozi au ndo furaha 
Baada ya kuangalia sana nikaona nywele zangu si nyeusi si isipokuwa zimepata ugeni ...angalia tu utaona :-) Unajua nini nimependa sana hiyo na naahidi sitamfukuza mgeni huyo kwani kuna wengine wanamtafuta ...Ila duh sijui nitaweza kuchana kila siku maana ni kipilipili/ulezi hasa