Showing posts with label mwanamke anaweza. Show all posts
Showing posts with label mwanamke anaweza. Show all posts

Tuesday, October 14, 2014

HILI NI CHAGUO LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII NI PICHA YA MWAKA!!!

Haki ya nane hii ni kibako ..nimewahi kusikia kuwa wanawake wanaweza kufanya shughuli zaidi ya moja kwa wakati mmoja....lakini hii kaaaazi kwelikweli. Sasa hapo sijui atapindaje kona?