Showing posts with label NOELI. Show all posts
Showing posts with label NOELI. Show all posts

Wednesday, December 26, 2018

MWOKOZI YESU AMEZALIWA


NI MATEGEMEO YANGU KUWA SIKUKUU HII YA KUZALIWA MWOKOZI WETU IMEKUWA NJEMA KWA WENGI WETU. NAMI NACHUKUA NAFASI HII NA KUSEMA NAWATAKIENI  WOTE NOELI NJEMA

Tuesday, December 24, 2013

SALAMU ZA CHRISTMAS KUTOKA KWA KAPULYA.....

Nawatakieni wote sikukuu hii ya Christmas/Noeli iwe yenye baraka, amani, upendo na furaha. Mwenyezi Mungu na awe pamoja nanyi kwa kila mtakachofanya. CHRISTMAS NJEMA/GOD JUL!!

Saturday, December 24, 2011

HAPA SWEDEN LEO NDIO CHRITMAS..NAS TWASEMA HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA ..GOD JUL OCH GOTT NYTT ÅR!!!!

Picha hii ilikuwa mwaka jana siku kama ya leo angalia kulivyokuwa kweupe na hapo ndipo chrstmas inakuwa kweli christmas........Nimejaribu kuuliza kwanini wanasheherekea Christmas leo na sio kesho kama wengi wanavyofanya sijapata jibu la kuniridhisha kwa kweli kwa hiyo ukienda sehemu na ukikuta wanatembea uchi nawe tembea.


Kuamka leo asubuhi sehemu ileile kama picha ya hapo juu. Lakini leo mpaka nyasi zinaonekama hakuna theruji, Jua linawaka...ila kuna kaubaridi kwa mbali...Na hii inasemekana haijawahi kutokea.....KHERI KWA CHRISTMAS/GOD JUL TILL ALLA. Oh naondoka kwenda kubeba mabox mwenzenu...Tutaonana baadae au kesho au keshokutwa au niseme tu TUTAONANA TENA.

Saturday, December 25, 2010

BWANA YESU AMEZALIWA LEO HORINI TWENDE TUKAMWONE NA ROZI MHANDO!!!



Leo ni jumamosi pia ni siku aliyozaliwa bwana wetu Yesu Kristu hasa kwa wakatoliki leo ndio sherehe kubwa. HAYA CHRISTMAS NJEMA WOOOOOOOOOOOOTE KWA MARA NYINGINE TENA NA MWISHO MWEMA WA JUMA!!! TUTAONANA TENA WAKATI MWINGINE!!!

Thursday, December 24, 2009

SALAMU ZA NOELI KUTOKA SWEDEN KWA WOTE ULIMWENGUNI!!!!

Kwa kawaida au niseme Noeli kwa sehemu nyingi ni kesho au kwa mimi lakini hapa Sweden Noeli ni leo 24/12. Kwa hiyo sisi au mimi na familia yangu tunapenda kuwatakieni wote
CHRISTMAS NJEMA/GOD JUL.