Showing posts with label SIKU/TAREHE YANGU YA KUZALIWA. Show all posts
Showing posts with label SIKU/TAREHE YANGU YA KUZALIWA. Show all posts

Monday, January 5, 2015

KAPULYA ANATIMIZA MIAKA LEO... NI TAREHE NILIYOZALIWA LEO:-)

Leo ni tarehe/siku ambayo familia ya Mzee Ngonyani ilikuwa na furaha kumpati binti yao ambaye alizaliwa siku hii ya leo. Na leo ameongoza mwaka tena na kuzidi kuzeeka. Lakini hata hivyo anapenda kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki kwa siku hii ili tumsaidie kusherekea. Na wote manakaribishwa..sana. NAWATAKIENI SIKU NA WAKATI MWEMA. WOTE MNAPENDWA SANA ...KAPULYA Nachukua nafasi hii na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda salama .