Showing posts with label unywaji wa Ulanzi. Show all posts
Showing posts with label unywaji wa Ulanzi. Show all posts

Monday, April 16, 2018

JUMATATU HII TUANZENA PICHA HII...ULANZI

Hii ni picha ya wiki sijawahi kuona unywaji huu wa ulanzi moja kwa moja kwenye mbeta. Duh! kaaazi kwelikweli..JUMATATU NJEMA NDUGU ZANGU PAMOJA DAIMA. PANAPO MAJALIWA.