Hii ni barabara toka Songea kwenda Peramiho ..miaka 3 iliyopita hiki kibao hakikuwepo ...maendeleo ni kasi sana inafurahisha:-)
Kutua ardhi uliyozaliwa sio mchezo ni raha sana kama muonavyo Mungu anavyoshukuriwa na hapa pia ni Peramiho
Na raha inaongezeka pale unapokutana na ndugu kama hapa huyu ni binti Lucy ni binti ya kakangu.
kwa leo tuishie hapa panapo majaliwa na tutaendelea na picha pia matukio mengine ya huko Ruvuma kwetu.....


