Ngoja nisikilia hizi chuchu nyingine ili wengine wasije wakachukua....Nimewahi kusikia kuwa ni hatari kunywa maziwa bila kuchemsha yaani moja kwa moja kama mtoto huyu. Je ni kwa binadamu tu au?Maana Ndama hadhuriki..Kaaaazi kwelikweli hapa..sijui mama alikuwa wapi?


